Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Paa la juu na taji la dirisha la kwenye malalo ya bibi Zainabu (a.s)
Mafundi na watalamu wa kiwanda cha Saqaa, cha kutengeneza madirisha na milango ya makaburi na mazaru tukufu chini ya Atabatu Abbasiyya, wanaendelea kutengeneza paa la juu na taji la dirisha la kwenye kaburi la bibi Zainabu (a.s), na wamesha kamilisha kwa kiwango kikubwa, umebaki muda mfupi wamalize kabisa, na kua miongoni mwa kazi zilizo fanywa kwa mafanikio na mikono ya raia wa Iraq na watumishi wa watu wa nyumba ya Mtume (s.a.w.w), kazi hii inafanywa baada ya makubaliano ya kutengeneza paa na taji la dirisha la kwenye kaburi la bibi Zainabu (a.s) kati ya Atabatu Abbasiyya na mmoja wa watumishi wa Ahlulbait (a.s).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
04-03-2020
26-12-2019
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 40
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1