Jumanne
13 Rabiʻ II 1441
Habari
Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Majengo ya viwanda na magodauni katika barabara ya Najafu
Majengo ya viwanda na magodauni katika barabara ya Najafu
Hatua ya pili ya mradi wa kuimarisha na kuweka dhahabu katika Twarima la kaburi la Abulfadhil Abbasi (a.s)Sardabu ya Imamu Aljawaad (a.s)
Mradi wa SaaqiKiwanda cha kufyatua tofali za smenti na nguzo za zege.
Zaidi
Khutuba za Ijumaa
Khutuba za Ijumaa
06/12/2019
Tamko la Marjaa Dini mkuu kuhusu matukio ya hivi karibuni katika maandamano.
Madhumuni muhimu katika khutuba
- Bila shaka harakazi za wananchi zinapo husisha watu wa tabaka zote huwa ni njia nzuri ya kuwabana watawala wakubali kufanya mabadiliko ya kweli katika taifa, sharti la msingi huwa ni kujiepusha na uvunjifu wa amani, vurugu na uharibifu.
- Uvunjifu wa amani, vurugu na uharibifu huwa na matokeo mabaya na huzuwia kufikia malengo pamoja na kumwaga damu kwa ajili hiyo.
- Lazima kuzingatia jambo hilo na kuchuku tahadhari ya kuzuwia watu wasio taka islahi wasijipenyeze na kuzuwia kufikia lengo.
- Kulinda amani ya waandamanaji na mali zao ni jukumu la kila mtu.
- Kulinda amani na usalama wa waandamanaji ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama na wanatakiwa kuzuwia wahalifu wasijipenyeze.
- Haifai kufanya vurugu na kujitenga na vyombo vya ulinzi na usalama.
- Angalieni yaliyo tokea hivi karibuni katika baadhi ya miji pale vyombo vya ulinzi na usalama vilipo shindwa kutekeleza wajibu wao hadi viongozi wa makabila wakasimama imara kulinda watu wao na kuzuwia uharibifu, yapasa kuwashukuru na kuwapongeza.
- Vyombo vya ulinzi na usalama lazima viwajibike kulinda amani ya waandamanaji na mali zao.
- Vyombo vya ulinzi na usalama lazima vihakikishe maafa yaliyo tokea hayarudii tena.
- Tunalaani maafa yaliyo tokea wiki zilizo pita na uharibifu wa mali za umma na binafsi.
- Tunatoa wito kwa waathirika wadai haki zao kwa kufuata sheria, na vyombo vya kusimamia sheria viwaadhibu wahalifu kwa mujibu wa sheria.
- Tunatoa onyo kwa wale wanaotaka kutumia maandamano ya wananchi kwa maslahi binafsi.
- Tunasisitiza kua Marjaa Dini mkuu analinda maslahi ya wananchi wote wa Iraq bila kujali tofauti zao na milengo yao.
- Marjaa Dini mkuu analinda maslahi ya taifa.
- Haifai kutumiwa jina lake na kundi lolote dhidi ya kundi lingine katika maandamano isije ikadhaniwa kuwa anaunga mkono kundi fulani dhidi ya lingine.
- Tunatarajia achaguliwe waziri mkuu mpya na baraza lake ndani ya muda uliopangwa na katiba kwa kuzingatia matakwa ya wananchi bila kuingiliwa na watu wa nje.
- Marjaa Dini mkuu hana upande wowote katika mchakato huo.
الشيخ عبد المهدي الكربلائي
Khutuba zilizopo
خطبة الجمعة
Marjaa Dini mkuu ameendelea kusisitiza uharamu wa kuwashambulia watu wanaofanya maandamano ya amani na kuacha ...
خطبة الجمعة
Majraa Dini mkuu ameendelea kusisitiza maandamano ya amani na utukufu wa damu ya muiraq. ...
خطبة الجمعة
Kama kuna viongozi wanaodhani wanaweza kukweba kufanya marekebisho ya kweli kuhusu madai ya waandamanaji wajue ...
Ziara ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Jina
Barua pepe
Kwaniaba ya
Maktaba ya picha za video
Muhadhara wa Shekh Abdu-Swahibu Twaaiy katika ukumbi wa haram tukufu ya Abbasi mwezi 7 Ramadhani 1439h
Usomaji wa Qur'an tukufu katika Atabatu Abbasiyya siku ya tano
Muhadhara wa Shekh Abdu-Swahibu Twaaiy katika ukumbi wa haram tukufu ya Abbasi mwezi 5 Ramadhani 1439h
Mashindano ya Qur'an ya vikundi awamu ya nne mzunguko wa nne
Muhadhara wa Shekh Abdu-Swahibu Twaaiy katika ukumbi wa haram tukufu ya Abbasi siku ya tatu
Ujumbe wa Alkafeel halaqa ya ishirini na moja
Mashindano ya Qur'an ya vikundi  awamu ya nne mzunguko wa tatu
Muhadhara wa Shekh Abdu-Swahibu Twaaiy katika ukumbi wa haram tukufu ya Abbasi siku ya kwanza
Ujumbe wa Alkafeel halaqa ya ishirini.
Ujumbe wa Alkafeel halaqa ya kumi na tisa
Khutuba ya kwanza ya swala ya Ijumaa ya Allamah Shekh Abdulmahdi Karbalai 17 Shabani 1439h
Khutuba ya pili ya swala ya Ijumaa ya Allamah Shekh Abdulmahdi Karbalai 17 Shabani 1439h
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / hafla ya ufungaji
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kuzawadiwa kwa vituo vya usambazaji vilivyo shiriki katika maonyesho ya vitabu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / hafla ya kutoa zawadi kwa familia za mashahidi wa vyombo vya habari ndani ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha usomaji wa mashairi ndani ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha usomaji wa Qur'an ndani ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / wageni wanatembelea miradi ya Ataba mbili tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha utafiti cha nne
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha utafiti cha tatu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kaswida ya wito wa Aqida
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne /kikao cha usomaji wa Qur'an katika Atabatu Husseniyya tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha utafiti cha pili
Kutokana na kufikisha umri wa kuwajibikiwa na sheria: Atabatu Abbasiyya tukufu yafanya hafla ya kuwapongeza wanafunzi wa shule za Ameed…
Maktaba ya picha za mnato